gequbao.com

找歌就用歌曲宝

cover

Extravaganza - Sauti Sol

Extravaganza-Sauti Sol.mp3
[00:0.0]Extravaganza - Sauti Sol/Bensoul/Nviiri Th...
[00:0.0]Extravaganza - Sauti Sol/Bensoul/Nviiri The Storyteller/Crystal Asige/Kaskazini
[00:1.55]Lyrics by:Sauti Sol
[00:3.1]Composed by:Bensoul/Crystal Asige/Kaskazini/Nviiri The Storyteller/Sauti Sol
[00:4.65]Ayeee
[00:6.32]Rhumba imechamba
[00:7.79]Sauti Sol ina di area kumechacha
[00:11.19]Karibuni kwenye extravaganza
[00:13.81]Bensoul alipofika alifunika eeeh
[00:18.63]Wakaja na madrama
[00:21.06]Cinema zetu ni telenovela eeeh
[00:24.66]Wakasunda mizinga
[00:27.15]Hawakujua si tuko mavela iieeh
[00:31.0]Wakaita polisi
[00:33.56]Kumbe polisi pia ni shabiki eeeh
[00:37.22]Wakaficha msosi
[00:39.66]Wakatupata na dishi mezani
[00:42.06]Ayeee
[00:43.59]Rhumba imechamba
[00:45.16]Sauti Sol ina di area kumechacha
[00:48.53]Karibuni kwenye extravaganza
[00:51.14]Nviiri alipofika alifunika eeeh
[00:56.0]Walifunga milango
[00:58.27]Wakatupata tuko ndani nao
[01:03.18]Wakaita makanjo
[01:07.37]Kumbe ni sisi huwalipa salowowowo
[01:13.67]Wakazima mitambo
[01:17.88]Shabiki wakabaki kwenye dance floor
[01:24.17]Na iwe funzo kwao
[01:28.55]Tunaongoza wanafuata nyayo
[01:32.52]Ayeee
[01:34.95]Rhumba imechamba
[01:37.55]Sauti Sol ina di area kumechacha
[01:43.25]Karibuni kwenye extravaganza
[01:47.62]Crystal alipofika alifunika eeeh
[01:55.73]Wakaja na umati
[01:59.65]Wakageuka kuwa wafuasi
[01:65.8]Wakaja na majini
[01:70.1]Wakapata tushazama kwa dini
[01:76.27]Nywele za kifarasi
[01:80.57]Lakini si ni moto ya malkiasi
[01:86.9]Risasi mwendo kasi
[01:90.83]Dandia msiachwe na baaa
[01:94.95]Ayeee
[01:97.48]Rhumba imechamba
[01:99.93]Sauti Sol ina di area kumechacha
[02:05.63]Karibuni kwenye extravaganza
[02:10.03]Kaskazini alipofika alifunika eeeh
[02:18.15]Wakaenda kusini
[02:21.97]Wakajipata wako kaskazinieeh
[02:28.32]Wakaja na magigi
[02:32.23]Lakini si tukaja na muzikieeh
[02:37.3]Wowowo yeyeye
[02:42.05]Hata wazime taa tutazidi kuparty
[02:47.25]Wowowo yeyeye
[02:52.52]Hizi vitu hazitakangi utiaji
[02:56.67]Na wakiapisha tunaapisha
[02:61.43]Na wakifunika tunafunua
[02:66.77]Eeh wakianika tunaanua
[02:71.95]Na wakisafisha tunachafua
[02:77.8]Ayeee
[02:80.42]Rhumba imechamba
[02:83.07]Sauti Sol ina di area kumechacha
[02:88.3]Karibuni kwenye extravaganza
[02:93.97]Karibuni kwenye extravaganza
[02:98.5]Ayeee
[03:01.08]Rhumba imechamba
[03:03.75]Sauti Sol ina di area kumechacha
[03:09.5]Karibuni kwenye extravaganza
[03:14.68]Karibuni kwenye extravaganza
[03:18.2]I am looking for trouble trouble trouble
[03:24.72]Hapana rusha mawe kwa police station
[03:29.68]Kabla wacheki vela cheki situation
[03:34.93]Hapana shusha bendera kwa chifu
[03:38.48]I am looking for trouble trouble trouble
[03:45.77]Bibi ya wenyewe is a no go zone
[03:50.32]Kama ukute vitu piga protection
[03:55.35]Nairobi mwizi utageuzwa jivu
[03:59.47]I am looking for trouble trouble trouble
[03:66.17]Hapana rusha mawe kwa police station
[03:71.25]Kabla wacheki vela cheki situation
[03:76.52]Hapana shusha bendera kwa chifu
[03:80.22]I am looking for trouble trouble trouble
[03:87.25]Bibi ya wenyewe isno go zone
[03:91.85]Kama ukute vitu piga protection
[03:97.17]Nairobi mwizi utageuzwa jivu
展开